MAAFA YATOKEA DAR...GOROFA LAPOROMOKA NA KUSABABISHA VIFO







Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam, akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete kujionea mwenyewe jengo lililoporomoka asubuhi saa mbili na nusu Machi 29, 2013 ambapo hadi Rais anafika mahali hapo saa saba kamili watu wawili wamethibitishwa kuwa wamekufa na wengine 19 kujeruhiwa, wawili wakiwa mahututi. Juhudi zinaendelea kuokoa watu wanaosadikiwa kunaswa kwenye kifusi cha jengo hilo lililokuwa limefikia ghorofa ya 15, likijengwa ubavuni mwa Msikiti wa Shia Ithnaasheri.
SOURCE: jestina blog

CHEKI HIYO

UZINDUZI WA ALBUM YA VANESSA MDEE FT.OMMY DIMPOZ

R.I.P GOLDIE, GONE TOO SOON

*Goldie


Prezzo Finally Breaks The Silence About Goldie's Death

Goldie’s close friend and partner in the last Big Brother African Star Game, Prezzo was said to have boarded the next available flight to Lagos, following the death of the entertainer and Big Brother alumnus, Susan Oluwabimpe Harvey.

Sources close to Prezzo in Kenya said Prezzo’s mum has confirmed that her son left for Nigeria on Thursday night most probably after getting the news of Goldie’s death.
We’re told Prezzo, who met Goldie while both were housemates at the Big Brother Africa Stargame in 2012, is ‘beyond shocked’.
Meanwhile, another Big Brother colleague Milicent Mugadi says it’s difficult for her to digest the news of Goldie’s death. ‘Later in the day I will organise together with a few friends to have a private mass to remember Goldie. May she rest in peace. I still cannot digest the news’, she said.
prezzo finally break the silence by putting down this emotional poem

God saw you were getting tired, and a
cure was not meant to be
So he put his arms around you, and
whispered come with me
With tearful eyes we watched you, as
we saw you pass away
Although we love you deeply, we could
not make you stay
Your golden heart stopped beating,
hardworking hands at rest
God broke our hearts to prove to us...
He only takes the best.


may ur soul rest in eternal peace amen. u will always be remembered Goldie.

KIVAZI CHA KANGA


jamani hiyo top ya huyo dada wa kushoto, imeenda shule... was just checking on something, nkakutana nacho, nkaona nivizur niwaonyeshe, especially kwenye mishono ya vichen party, kinausika sana hiko kivazi.

BREAKING NEWS!!!! LULU AACHIWA KWA DHAMANA




Baada ya wanasheria wa msanii huyo ambao ni Peter kibatala, Kennedy Fungamtama na Fulgence Massawe,  kutuma maombi ya dhamana ya kesi ya Lulu ili isomwe haraka kwasababu muombaji amekaa muda mrefu mahabusu, sasa habari zilizotoka hivi punde kutoka mahakama kuu zinasema lulu ametakiwa kukamilishamasharti aliyopewa, ikiwa ni kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani, kuripoti mahakamani kila siku ya kwanza ya mwezi,  na wafadhili wawili kuweka bondi ya Shilingi mil 20 kila mmoja...masharti hayo yakikamilika leo hii ataachiwa huru kuwa uraiani.

Upande wa familia ya Lulu umesema masharti yote yaliyotajwa wanaweza kuyatimiza leo leo hivyo wanasubiri tu jibu la msajili ambae ndio anatakiwa kuhakikisha hayo masharti yametimia kisha ruhusa ya kumkabidhi Lulu kwa familia yake itolewe.

Taarifa za ndani ni kwamba uwezekano wa Lulu kuachiwa upo kuanzia january 29 2013 ambayo ni kesho kwa sababu kuna watumishi wawili wa serikali ambao wapo kikazi mkoani Pwani na ndio walitakiwa kutia saini dhamana ya Lulu wakiwa ni sehemu ya masharti.
source: DJ fetty blog
GUYS GUYS GUYS
MPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO?
FIRST OF ALL, I WOULD LIKE TO TAKE THIS OPPORTUNITY TO SAY I AM SO SO SORRY. NIMEKUA KIMYA FOR SUCH A VERY LONG TIME.
I WAS OUT OF THE COUNTRY, AND NIMERUDI BUT I HAVE BEEN KINDA BUSY, HATA MDA WA KUSHIKA KI MINI LAPTOP CHANGU SINA.
YANI NATAKA KUWAHAIDI KUA, MSIJALIIII KABISA, THE BLOG IS STILL ON
AND MORE FANTASTIC THINGS TO COME, JUST STAY TUNEDDDD.
LOVE YOU ALL

From Around The Blog

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...