STYLES ZA MAPOCHI NA WALLET ZA KIKE

HII ni kwa jili ya wanawake a.k.a masista duuzzz, mwanamke wallet,najua mtakubaliana
na mimi pale ambapo umefika dukani au mahali popote ambapo unahitajika kutoa hela,kila mtu atakua
anangalia ni aina gani ya wallet ambayo umebeba.wallet imekua ni kiungo cha mwanamke. wanawake wenzangu
jitahidini sana kununua wallet nzuri na za uhakika, mana hiki kiungo kinasaidia pia ku define we ni aina gani ya mwanamke.
vifuatavyo ni aina mbali mbali za wallet na pochi ndogo za kuwekea vitu mbali mbali kama vile vipodozi kwenye handbags au vikorombwezo vya aina yoyote,ila ningependekeza viwe vya urembo ambavyo wanawake upenda kubeba, je we ni miongoni mwao?wether iwe ya mchina,ya kizungu, wallet nzuri inahuu sana tuuuuuuuuuuuu

































From Around The Blog

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...