NARGIS MOHAMMED KITCHEN PARTY


Besti yangu ulifunika si tu kwa urembo bali hata sherehe nzima,  ohhhhhh yeeeees, you did it nargis,
finally hayawi hayawi na leo yamekua, hongera sana bestito................

...BRIDE::NARGIS 
...VENUE::KARIMJEE HALL 

...THEME::B2A 

...COLOR::BLUE & PINK
 

...MC::KIDE 

...PICTURE::GRM PRODUCTIONS



 



 























Hicho kiatu tuuuuuuuuuu, mi hooiiiiiiiiii, pendecha chana.....

Them pozezzzzz, noumarrrrrrrrr......................


jamani mmefungua machoooooo?mishono hiyo, ohooooooo, alielala?.......








dadaaa lucy umependeza, mwenyekiti wa sherehe jamani, uko juuuuuuu



viatuuuuuuuuuuu, mko juu vibayaaaaaaaaaa...................................


vivi hakukosekana pia, naona alijaa kwenye sherehe, mmependeza mnooooo





mc matata.......................


asanteeeeeee, hope mlishiba

shopping ya chini, matataaaa



wenye wivu naaaaaaaaa.......



mafundi tuwape heshima zao wajameni....sherehe ilijaa walembo


















nimeipenda hi picha.......mmetoka bouuuumba
















KUTOKA CAMERA YA SIMU...
.;) naomba nikiiTAMBULISHE HICHI KIPENGELE MAANA SIKU HIZI  KUNA PICHA MZURI SAANA ZAPIGWA KWA SIMU......Enjoy

                           Aunt Linda nae alisherehekea Kitchen Party ya Na  kwa style yake





kwaleo panatosha...kupata mengi yaliojiri nichek bdae........................................


4 comments:

  1. wowwww, mamaaaaa marion uko juuuuuuu
    assante kwa kutupa updates za kila siku, pole pole mwendo mama.god bless you

    ReplyDelete
  2. nargis ulipendeza sana,mungu kakujalia uzuri.

    ReplyDelete
  3. jamani mlipendeza kila nikiangalia mshono yote inanichanganya nichague upi niache upi

    ReplyDelete
  4. jamani nagris we umrembo sana huyo jamaa atajidaijee?

    ReplyDelete

From Around The Blog

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...