HONGERA DADA SHAMIM

HONGERA SAAANA DADA ANGU KWA KUFANIKISHA SHUGHULI YAKO NZIMA ILIYOFANYIKA TAREHE 30-OCT-2011 YA KUFIKISHA MIAKA MITANO YA BLOG. ULIPENDEZA SANA NA EVENT ILIKUA YA KIHISTORIA.TUKO PAMOJA DADA




































































kwa leo hapo panatosha, at least mmeona jinsi gani dada yetu alivyopata support kutoka kwa marafiki na sponsors. kwa kifupi shughuli nzima ilifanikiwa.hongera sana dada angu, Mungu akubariki uzidi kupanda juu na juu zaidi.







From Around The Blog

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...