Besti yangu ulifunika si tu kwa urembo bali hata sherehe nzima, ohhhhhh yeeeees, you did it nargis,
finally hayawi hayawi na leo yamekua, hongera sana bestito................
...BRIDE::NARGIS
...VENUE::KARIMJEE HALL
...THEME::B2A
...COLOR::BLUE & PINK
...MC::KIDE
...PICTURE::GRM PRODUCTIONS
Hicho kiatu tuuuuuuuuuu, mi hooiiiiiiiiii, pendecha chana.....
Them pozezzzzz, noumarrrrrrrrr......................
jamani mmefungua machoooooo?mishono hiyo, ohooooooo, alielala?.......
dadaaa lucy umependeza, mwenyekiti wa sherehe jamani, uko juuuuuuu
viatuuuuuuuuuuu, mko juu vibayaaaaaaaaaa...................................
vivi hakukosekana pia, naona alijaa kwenye sherehe, mmependeza mnooooo
mc matata.......................
asanteeeeeee, hope mlishiba
shopping ya chini, matataaaa
wenye wivu naaaaaaaaa.......
mafundi tuwape heshima zao wajameni....sherehe ilijaa walembo
nimeipenda hi picha.......mmetoka bouuuumba
KUTOKA CAMERA YA SIMU... .;) naomba nikiiTAMBULISHE HICHI KIPENGELE MAANA SIKU HIZI KUNA PICHA MZURI SAANA ZAPIGWA KWA SIMU......Enjoy |
Aunt Linda nae alisherehekea Kitchen Party ya Na kwa style yake
kwaleo panatosha...kupata mengi yaliojiri nichek bdae........................................
wowwww, mamaaaaa marion uko juuuuuuu
ReplyDeleteassante kwa kutupa updates za kila siku, pole pole mwendo mama.god bless you
nargis ulipendeza sana,mungu kakujalia uzuri.
ReplyDeletejamani mlipendeza kila nikiangalia mshono yote inanichanganya nichague upi niache upi
ReplyDeletejamani nagris we umrembo sana huyo jamaa atajidaijee?
ReplyDelete