COLOR: GOLD, BLUE, RED, GREEN
VENUE: SALENDAR BRIDGE
MAKEUP: MAZNAT
DRESSED BY: DA DORIS
BIBI HARUSI MTARAJIWA NA MSIMAMIZI WAKE JOAN,NILIWABEMBELEZA WASHUKE HADI NIKACHOKA,
WALIKUA WANARINGA SI MCHEZO
KAMATI MKO JUU SANA,HASWA YA MAPAMBO
YOU GUYS ARE LIKE TWINS
MAMA NA MWANA....
MAMA MABELE HAKUKOSA FLIGHT,
ALIINGIA NA NDEGE USIKU AKAONGANISHA
NILIONA HAIJATOSHA KUKUPIGA UMEKAA,NIKAONA NIKUNYANYUE
NILIZUNGUKA KOTE,HAKUNA ALIECHUKIZA, MISHONO YA MADESIGNER ILITEMBEA KILA KONA
RINGA MAMAA, NI SIKU YAKO