NARGIS MOHAMMED KITCHEN PARTY
Besti yangu ulifunika si tu kwa urembo bali hata sherehe nzima, ohhhhhh yeeeees, you did it nargis,
finally hayawi hayawi na leo yamekua, hongera sana bestito................
...BRIDE::NARGIS
...VENUE::KARIMJEE HALL
...THEME::B2A
...COLOR::BLUE & PINK
...MC::KIDE
...PICTURE::GRM PRODUCTIONS

Hicho kiatu tuuuuuuuuuu, mi hooiiiiiiiiii, pendecha chana.....

Them pozezzzzz, noumarrrrrrrrr......................

jamani mmefungua machoooooo?mishono hiyo, ohooooooo, alielala?.......
dadaaa lucy umependeza, mwenyekiti wa sherehe jamani, uko juuuuuuu
viatuuuuuuuuuuu, mko juu vibayaaaaaaaaaa...................................

vivi hakukosekana pia, naona alijaa kwenye sherehe, mmependeza mnooooo
mc matata.......................

asanteeeeeee, hope mlishiba

shopping ya chini, matataaaa
wenye wivu naaaaaaaaa.......
mafundi tuwape heshima zao wajameni....sherehe ilijaa walembo

nimeipenda hi picha.......mmetoka bouuuumba
KUTOKA CAMERA YA SIMU...
.;) naomba nikiiTAMBULISHE HICHI KIPENGELE MAANA SIKU HIZI KUNA PICHA MZURI SAANA ZAPIGWA KWA SIMU......Enjoy |
Aunt Linda nae alisherehekea Kitchen Party ya Na kwa style yake
kwaleo panatosha...kupata mengi yaliojiri nichek bdae........................................